PDPC ZANZIBAR

Nov. 22, 2024, 11:52 a.m.   Zanzibar
PDPC ZANZIBAR

Bi. Shinuna Rashid (kushoto), Mkuu wa Kitengo cha TEHAMA - Innerworks Consultants Legal and Business Services ametembelea Ofisi za Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) - Zanzibar na kufanya mazungumzo na Bi. Rehema Abdullah -Mkurugenzi wa PDPC Zanzibar kwa lengo la kufahamu taratibu za kujisajili ili kutekeleza matakwa ya Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi Namba 11 ya mwaka 2022.