ELIMU YA DHANA YA ULINZI WA TAARIFA BINAFSI YATOLEWA MAONESHO YA NANENANE

Aug. 10, 2025, 4:24 p.m. ELIMU YA DHANA YA ULINZI WA TAARIFA BINAFSI YATOLEWA MAONESHO YA NANENANE

Afisa Habari wa Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) ofisi ya Zanzibar, Bw. Maulid Kipevu (aliyevaa T - Shirt ya PDPC) akitoa elimu ya dhana ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi katika maonesho ya sikukuu ya wakulima (Nanenane) yaliyofanyika kwenye viwanja vya maonesho Dole Kizimbani, Zanzibar.

Maonesho hayo yenye kauli mbiu “Kilimo ni Utajiri, Tunza Amani – Tulime Kibunifu” yalifunguliwa rasmi tarehe 2 Agosti, 2025 na Mhe. Waziri wa Kilimo Zanzibar Shamata Shame Khamis na yanatarajiwa kuhitimishwa tarehe 14 Agosti, 2025.

Tanzania Census 2022