ELIMU YA DHANA YA ULINZI WA TAARIFA BINAFSI YAWAFIKIA SHIVYAWATA
March 20, 2025, 11:36 p.m.
Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) leo Alhamisi tarehe 20/03/2025 imetoa elimu ya dhana ya ulinzi wa taarifa binafsi kwa wanachama wa Shirika la Vyama vya Watu wenye Ulemavu Tanzania (SHIVYAWATA) kwenye kongamano la wanawake wenye uhitaji maalum lililofanyika kwenye ukumbi wa Chuo cha Ushirika mkoa wa Ruvuma.

PDPC TUNAHAKIKISHA ULINZI WA FARAG…

MSINGI WA UCHUMI WA KIDIJITALI UNA…

‘UNWANTED WITNESS’ WATEMBELEA PDPC

PDPC YASHIRIKI KIKAO - TATHMINI YA…

DKT. MKILIA AFUNGUA WARSHA JUKWAA …

PDPC Yatoa Mafunzo Maalumu kwa Bod…

ELIMU YA DHANA YA ULINZI WA TAARIF…

PDPC YATOA ELIMU KWA UMMA MWANZA

ULINZI WA TAARIFA BINAFSI NI SWALA…

PDPC YATOA WITO WA USAJILI WA TAAS…

MISHAHARA KWA WAFANYAKAZI NCHINI K…

PDPC YATANGAZA MAFUNZO KWA MAAFISA…

SIMAMIENI MIPANGO YA KUPUNGUZA VIH…

RISK CHAMPIONS NA DPO’s SHIRIKIANE…