KARIBU PDPC MHE. ANGELLAH JASMINE MBELWA KAIRUKI

Dec. 15, 2025, 7 p.m. KARIBU PDPC MHE. ANGELLAH JASMINE MBELWA KAIRUKI

Mkurugenzi Mkuu, Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC), Dkt. Emmanuel Mkilia akimkabidhi zawadi Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Angellah Jasmine Mbelwa Kairuki. Leo tarehe 15 Desemba, 2025Β mara baada ya kuhitimisha ziara yake ya kikazi ya siku moja kwenye Ofisi ya PDPC iliyopo Mtaa wa Moshi, jijini Dodoma.