KIKAO CHA SABA CHA BODI YA WAKURUGENZI PDPC

Dec. 19, 2025, 11:50 p.m. KIKAO CHA SABA CHA BODI YA WAKURUGENZI PDPC

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) Mhe. Balozi Adadi Rajabu ameongoza Kikao cha saba cha Bodi hiyo ambacho kimepokea na kujadili utendaji kazi wa PDPC kwa kipindi cha mwezi Julai hadi Septemba, 2025.

Kikao hicho kimefanyika leo tarehe 19 Desemba 2025 katika ofisi za PDPC zilizopo Mtaa wa Moshi, jijini Dodoma.
Β