MAFUNZO MAALUM KWA MAAFISA ULINZI WA TAARIFA (DPOs) AWAMU YA SABA

Feb. 18, 2026, 9:20 a.m.   MBEYA
MAFUNZO MAALUM KWA MAAFISA ULINZI WA TAARIFA (DPOs) AWAMU YA SABA

Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) inawatangazia Mafunzo Maalum ya Siku 3 kwa Maafisa Ulinzi wa Taarifa Binafsi (DPOs) – Awamu ya Saba, yatakayofanyika 11–13 Februari 2026 jijini Mbeya.

Mafunzo haya yanalenga washiriki kutoka Nyanda za Juu Kusini (Iringa, Njombe, Ruvuma, Rukwa, Mbeya na Songwe) na ni fursa muhimu kwa taasisi za umma na binafsi kuimarisha uwezo wa utekelezaji wa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi, kuzingatia matakwa ya kisheria na kulinda haki za faragha.

πŸ“ 𝐌𝐚𝐑𝐚π₯𝐒: City Park Garden – Mbeya
πŸ’° π€ππš: TZS 800,000 (siku 3)
πŸ“π”π¬πšπ£π’π₯𝐒: https://tsms.gov.go.tz | www.pdpc.go.tz

πŸ“ž 𝐌𝐚𝐰𝐚𝐬𝐒π₯𝐒𝐚𝐧𝐨: events@pdpc.go.tz | +255695507751