PONGEZI MIAKA MINNE YA UONGOZI WA MHE. RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN

July 9, 2025, 8:45 p.m.   DODOMA
PONGEZI MIAKA MINNE YA UONGOZI WA MHE. RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN

Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na watumishi wa PDPC, tunampongeza na kumshukuru Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa uwekezaji alioufanya kwenye ulinzi wa taarifa binafsi nchini.