RAIS AZINDUA TUME YA ULINZI WA TAARIFA BINAFSI

Nov. 22, 2024, 12:18 p.m.   Kituco cha Kimataifa cha Mikutano Cha Julius Nyerere (JNICC), Jijini Dar es Salaam
RAIS AZINDUA TUME YA ULINZI WA TAARIFA BINAFSI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi pamoja na Mifumo ya Usajili na Malalamiko ya ukiukwaji wa misingi ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi katika Kituo cha Mikutano ya Kimataifa ya Julius Nyerere (JNICC) Dar es Salaam 03 Aprili, 2024.

#TaarifaBinafsiTz