DPO SIMAMIA USALAMA WA TAARIFA BINAFSI KWENYE TAASISI/KAMPUNI YAKO
July 9, 2025, 5:40 p.m.
Maafisa ulinzi wa taarifa (DPOs) wametakiwa kuhakikisha wanasimamia ulinzi wa taarifa binafsi kwenye taasisi zao.
Hayo yamesemwa leo Jumatano tarehe 9/7/2025 na Bi. Asha Sinare, mwezeshaji wa mafunzo kwa maafisa ulinzi wa taarifa ikiwa ni siku ya kwanza ya mafunzo maalum ya siku tatu kwa maafisa hao kutoka taasisi za umma na binafsi.
βAfisa Ulinzi wa taarifa binafsi (DPO) unapaswa kuwa na maarifa juu ya usalama wa mtandao ili uelewe hatari zilizopo zinazoathiri ulinzi wa taarifa binafsi kwenye taasisi/kampuni yako. Shughuli zote za kampuni zinazotumia taarifa binafsi za watu, DPO lazima uzitambue na uhakikishe utekelezaji wake unazingatia ulinzi wa faragha za taarifa hizoβ amesema Bi. Aisha Sinare
Mafunzo ya maafisa ulinzi wa taarifa ni moja ya njia ya PDPC kuhakikisha maafisa hao wanaelewa na kutekeleza majukumu yao ya ulinzi wa faragha za watu kwenye taarifa binafsi zilizopo kwenye taasisi/kampuni zao.
Ulinzi wa taarifa binafsi ni takwa la kisheria na Tume ya Ulinzi wa taarifa binafsi inalisimamia hilo kuhakikisha utekelezaji wa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi, Sura ya 44 unafanyika kikamilifu.
ROPA NI MUHIMU KWA KILA DPO
ππππππππ ππππππππ πππ ππππ+ππ ππππβ¦
DPO SIMAMIA USALAMA WA TAARIFA BINβ¦
NI LAZIMA KUWA NA SERA YA ULINZI Wβ¦
DPIA NI MUHIMU KUIMARISHA ULINZI Wβ¦
PDPC KUANZISHA ITHIBATI KWA MAAFISβ¦
ELIMU YA DHANA YA ULINZI WA TAARIFβ¦
BALOZI ADADI AONGOZA KIKAO CHA BODβ¦
JENGA UAMINIFU WA TAASISI YAKO KWAβ¦
NI KOSA KUSAMBAZA TAARIFA ZA MTU Kβ¦
πππππππ ππππ ππ ππππππ ππ ππππππ π β¦
πππππππ ππππππ π ππ πππ ππππ ππππππβ¦
KUSAFIRISHA TAARIFA BINAFSI NJE YAβ¦
KAMPENI ZIZINGATIE ULINZI WA FARAGβ¦
ULINZI WA FARAGHA KWENYE TAARIFA Bβ¦
PDPC na NHIF Kuimarisha Ushirikianβ¦
ELIMU YA KUZUIA NA KUPAMBANA NA RUβ¦
DPOs WAIPONGEZA PDPC KWA KUWAJENGEβ¦
KARIBU PDPC MHE. ANGELLAH JASMINE β¦
KIKAO CHA SABA CHA BODI YA WAKURUGβ¦