ELIMU YA ULINZI WA TAARIFA BINAFSI YATOLEWA MAONESHO YA NANENANE
Aug. 10, 2025, 4:27 p.m.
Afisa Habari wa Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) ofisi ya Zanzibar, Bw. Maulid Kipevu (aliyevaa T - Shirt ya PDPC) akitoa elimu ya dhana ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi katika maonesho ya sikukuu ya wakulima (Nanenane) yaliyofanyika kwenye viwanja vya maonesho Dole Kizimbani, Zanzibar.
Maonesho hayo yenye kauli mbiu βKilimo ni Utajiri, Tunza Amani β Tulime Kibunifuβ yalifunguliwa rasmi tarehe 2 Agosti, 2025 na Mhe. Waziri wa Kilimo Zanzibar Shamata Shame Khamis na yanatarajiwa kuhitimishwa tarehe 14 Agosti, 2025.
ππππππππ ππππππππ πππ ππππ+ππ ππππβ¦
NI LAZIMA KUWA NA SERA YA ULINZI Wβ¦
BALOZI ADADI AONGOZA KIKAO CHA BODβ¦
NI KOSA KUSAMBAZA TAARIFA ZA MTU Kβ¦
πππππππ ππππππ π ππ πππ ππππ ππππππβ¦
KUSAFIRISHA TAARIFA BINAFSI NJE YAβ¦
KAMPENI ZIZINGATIE ULINZI WA FARAGβ¦
ULINZI WA FARAGHA KWENYE TAARIFA Bβ¦
PDPC na NHIF Kuimarisha Ushirikianβ¦
ELIMU YA KUZUIA NA KUPAMBANA NA RUβ¦
DPOs WAIPONGEZA PDPC KWA KUWAJENGEβ¦
KARIBU PDPC MHE. ANGELLAH JASMINE β¦
KIKAO CHA SABA CHA BODI YA WAKURUGβ¦
PDPC AND HUAWEI HOST PRIVACY PROTEβ¦
MINISTER KAIRUKI ISSUES FINAL THREβ¦