RIDHAA INAPASWA KUTOLEWA BILA SHURUTI

June 24, 2025, 2 p.m. RIDHAA INAPASWA KUTOLEWA BILA SHURUTI

Wakusanyaji na wachakataji wa Taarifa Nchini wameshauriwa kukusanya na kuchakata Taarifa kwa kuzingatia matakwa ya Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi Sura ya 44 (PDPA) ikiwa ni pamoja na kutowashurutisha wahusika wa Taarifa kuwapatia ridhaa.
Wito huo umetolewa jijini Arusha, leo Juni 24, 2025 na Wakili Humphrey Mtuy, Mkuu wa Kitengo cha Sheria,Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC). Wakati akitoa mada ya Masuala Muhimu ya Kisheria katika PDPA kwa washiriki wa Β mafunzo ya kupunguza madhara ya vihatarishi katika Ulinzi wa Taarifa Binafsi ambapo amesema kwa mujibu wa PDPA hairuhisiwi kuchukua ridhaa ya Muhusika wa Taarifa kwa Shuruti.

β€œSheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi Kifungu cha Thelathini (30) kifungu kidogo cha Kwanza (1) na Kanuni ya Ishirini na Tano 25 (d) ya Ukusanyaji na Uchakataji wa Taarifa imeanisha mazingira ya kuchukua ridhaa kwa Muhusika wa Taarifa hivyo inapaswa kutoa ridhaa bila shuruti” Amesema Wakili Mtuy

Aidha wakili Mtuy alikamilisha mada yake kwa kusema kwamba PDPA imekuja kumlinda muhusika wa Taarifa na imeruhusu PDPC kushirikiana na vyombo vingine vya dola kumpatia haki ya Faragha Muhusika wa Taarifa endapo Taarifa zake zikitumika vibaya.

ROPA NI MUHIMU KWA KILA DPO

ROPA NI MUHIMU KWA KILA DPO

July 2, 2025, 3:55 p.m.
π“π€ππ™π€ππˆπ€ 𝐀𝐓𝐓𝐄𝐍𝐃𝐄𝐃 𝐓𝐇𝐄 π–π’πˆπ’+𝟐𝟎 π‡πˆπ†π‡-𝐋𝐄𝐕𝐄𝐋 𝐄𝐕𝐄𝐍𝐓 𝐈𝐍 𝐆𝐄𝐍𝐄𝐕𝐀

π“π€ππ™π€ππˆπ€ 𝐀𝐓𝐓𝐄𝐍𝐃𝐄𝐃 𝐓𝐇𝐄 π–π’πˆπ’+𝟐𝟎 π‡πˆπ†π‡β€¦

July 7, 2025, 9:05 a.m.
DPO SIMAMIA USALAMA WA TAARIFA BINAFSI KWENYE TAASISI/KAMPUNI YAKO

DPO SIMAMIA USALAMA WA TAARIFA BIN…

July 9, 2025, 5:26 p.m.
NI LAZIMA KUWA NA SERA YA ULINZI WA TAARIFA KWENYE …

NI LAZIMA KUWA NA SERA YA ULINZI W…

July 10, 2025, 3:54 p.m.
DPIA NI MUHIMU KUIMARISHA ULINZI WA TAARIFA BINAFSI

DPIA NI MUHIMU KUIMARISHA ULINZI W…

July 11, 2025, 3:55 p.m.
PDPC KUANZISHA ITHIBATI KWA MAAFISA ULINZI WA TAARIFA BINAFSI NCHINI

PDPC KUANZISHA ITHIBATI KWA MAAFIS…

July 16, 2025, 3:07 p.m.
ELIMU YA DHANA YA ULINZI WA TAARIFA BINAFSI YATOLEWA MAONESHO …

ELIMU YA DHANA YA ULINZI WA TAARIF…

Aug. 10, 2025, 4:24 p.m.
BALOZI ADADI AONGOZA KIKAO CHA BODI YA WAKURUGENZI PDPC

BALOZI ADADI AONGOZA KIKAO CHA BOD…

Aug. 14, 2025, 3:55 p.m.
JENGA UAMINIFU WA TAASISI YAKO KWA WADAU KWA KULINDA TAARIFA …

JENGA UAMINIFU WA TAASISI YAKO KWA…

Aug. 20, 2025, 8:57 p.m.
NI KOSA KUSAMBAZA TAARIFA ZA MTU KWENYE MITANDAO YA KIJAMII …

NI KOSA KUSAMBAZA TAARIFA ZA MTU K…

Aug. 20, 2025, 8:58 p.m.
πŠπ”π€ππƒπ€π€ 𝐒𝐄𝐑𝐀 π˜π€ π”π‹πˆππ™πˆ 𝐖𝐀 π“π€π€π‘πˆπ…π€ ππˆππ€π…π’πˆ πŠπ–π„ππ˜π„ π“π€π€π’πˆπ’πˆ 𝐍𝐈 …

πŠπ”π€ππƒπ€π€ 𝐒𝐄𝐑𝐀 π˜π€ π”π‹πˆππ™πˆ 𝐖𝐀 π“π€π€π‘πˆπ…π€ …

Aug. 21, 2025, 2:38 p.m.
π”π’πˆπ–π„πŠπ„ π“π€π€π‘πˆπ…π€ 𝐙𝐀 πŒπ“π” πŠπ€πŒπ€ πŒπƒπ‡π€πŒπˆππˆ π–π€πŠπŽ ππˆπ‹π€ πŠπ”ππ€π“π€ π‘πˆπƒπ‡π€π€ …

π”π’πˆπ–π„πŠπ„ π“π€π€π‘πˆπ…π€ 𝐙𝐀 πŒπ“π” πŠπ€πŒπ€ πŒπƒπ‡π€πŒπˆβ€¦

Aug. 21, 2025, 2:46 p.m.
KUSAFIRISHA TAARIFA BINAFSI NJE YA NCHI NI LAZIMA KUPATA KIBALI …

KUSAFIRISHA TAARIFA BINAFSI NJE YA…

Aug. 22, 2025, 4:45 p.m.
KAMPENI ZIZINGATIE ULINZI WA FARAGHA KWENYE TAARIFA BINAFSI ZA WATU

KAMPENI ZIZINGATIE ULINZI WA FARAG…

Sept. 5, 2025, 8:53 a.m.
ULINZI WA FARAGHA KWENYE TAARIFA BINAFSI UNAJENGA IMANI YA WANANCHI …

ULINZI WA FARAGHA KWENYE TAARIFA B…

Sept. 11, 2025, 11:23 a.m.
PDPC na NHIF Kuimarisha Ushirikiano katika Kulinda Faragha na Taarifa …

PDPC na NHIF Kuimarisha Ushirikian…

Nov. 12, 2025, 6:56 p.m.
ELIMU YA KUZUIA NA KUPAMBANA NA RUSHWA YAWAFIKIA PDPC

ELIMU YA KUZUIA NA KUPAMBANA NA RU…

Nov. 24, 2025, 10:12 p.m.
DPOs WAIPONGEZA PDPC KWA KUWAJENGEA UWEZO KATIKA ULINZI WA TAARIFA

DPOs WAIPONGEZA PDPC KWA KUWAJENGE…

Dec. 4, 2025, 7:08 p.m.
KARIBU PDPC MHE. ANGELLAH JASMINE MBELWA KAIRUKI

KARIBU PDPC MHE. ANGELLAH JASMINE …

Dec. 15, 2025, 7 p.m.
KIKAO CHA SABA CHA BODI YA WAKURUGENZI PDPC

KIKAO CHA SABA CHA BODI YA WAKURUG…

Dec. 19, 2025, 11:50 p.m.