RISK CHAMPIONS NA DPO’s SHIRIKIANENI KULINDA TAARIFA BINAFSI NCHINI
June 23, 2025, 7:27 p.m.
Waratibu na Wasimamizi wa Vihatarishi (Risk Champions) wakishirikiana na Maafisa Ulinzi wa Taarifa Binafsi (DPO's) wakifanyakazi kwa ushirikiano itarahisisha Ulinzi wa Taarifa Binafsi kwenye Taasisi husika.
Hayo yamesemwa na Mhandisi Stephen Wangwe, Mkurugenzi wa Usajili na Uzingatiaji, Tume ya Ulinzi waTaarifa Binafsi (PDPC) June 23, 2025 jijini Arusha wakati akiwasilisha mada ya Wasilisho la Ulinzi wa Taarifa Binafsi Tanzania kwa Muhtasari, kwa washiriki wa mafunzo ya kupunguza madhara ya vihatarishi katika Ulinzi wa Taarifa Binafsi ambapo amesema ili kupata matokeo chanya katika Ulinzi wa Taarifa Binafsi Nchini, inapaswa Risk Champions na DPO’s washirikiane kikamilifu kupunguza madhara ya vihatarishi vya Ulinzi wa Taarifa kwenye Taasisi zao.
Mafunzo haya ya siku tatu yanahusisha Waratibu na Wasimamizi wa Vihatarishi, Wajumbe wa Bodi,Wakuu wa Idara au Vitengo, Maafisa Tehama na Wakaguzi wa Ndani na Nje.

PDPC TUNAHAKIKISHA ULINZI WA FARAG…

MSINGI WA UCHUMI WA KIDIJITALI UNA…

‘UNWANTED WITNESS’ WATEMBELEA PDPC

PDPC YASHIRIKI KIKAO - TATHMINI YA…

DKT. MKILIA AFUNGUA WARSHA JUKWAA …

PDPC Yatoa Mafunzo Maalumu kwa Bod…

ELIMU YA DHANA YA ULINZI WA TAARIF…

PDPC YATOA ELIMU KWA UMMA MWANZA

ULINZI WA TAARIFA BINAFSI NI SWALA…

PDPC YATOA WITO WA USAJILI WA TAAS…

MISHAHARA KWA WAFANYAKAZI NCHINI K…

PDPC YATANGAZA MAFUNZO KWA MAAFISA…

SIMAMIENI MIPANGO YA KUPUNGUZA VIH…

RISK CHAMPIONS NA DPO’s SHIRIKIANE…